Upinzani nchini Zimbabwe unasema kuwa mgombea wake wa urais Nelson Chamisa, ameshinda uchaguzi mkuu wa Jumatatu. Chama cha upinzani cha MDC kinasema kuwa chama tawala cha Zanu-PF kinajaribu kufanya ...
Mwanasiasa mzoefu aliye na miongo kadhaa ya uanaharakati ambaye pia ni kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe Nelson Chamisa wa umri wa miaka 45, bado anajulikana na wengi kama "mukomana au "kijana".
Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe amepinga ushindi wa rais Emmerson Mnangagwa akisema matokeo yaliotolewa ni bandia. Mnanganga alitangazwa mshindi kwa mara ya kwanza tangu kung'atuliwa kwa rais ...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa na kiongozi mkuu wa upinzani Nelson Chamisa, wote wanadai kuwa wanaelekea kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika siku ya Jumatatu. Mnangangwa ...
Upinzani nchini Zimbabwe umeyapinga matokeo ya uchaguzi mkuu yaliyomrejesha madarakani rais Emmerson Mnangagwa wa chama tawala cha ZANU-PF. Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha Citizens ...
Jina hili la utani linasisitiza tofauti yake ya umri na rais anaye maluza muda wake Emmerson Mnangagwa, 80, anayejulikana kama "mamba" kwa ukatili wake, ambaye anakabiliana naye siku ya Jumatano ...