William Ruto, ni miongoni mwa wanasiasa wengi wakubwa nchini Kenya walioweka wazi nia zao za kuingia Ikulu ya Kenya, kupitia uchaguzi mkuu wa mwaka 2022, kurithi mikoba ya aliyekuwa 'swahiba wake', ...
Naibu Rais wa Kenya William Ruto amekaidi kila changamoto na kushinda uchaguzi wa urais uliokuwa na ushindani mkali katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Ushindi wake ulikuwa finyu, wa kustaajabisha, ...
Nairobi – Rais wa Kenya William Ruto ametambuliwa na Jarida la Time kuwa miongoni wa viongozi 100 wenye ushawishi mkubwa zaidi duniani kutokana na mchangao wao kuhusu kupambana na mabadiliko ya hali ...
Naibu rais wa Kenya William Ruto ametishia kukihama chama cha Jubilee iwapo kitaendelea kuwavuruga viongozi wanaogemea upande wake, huku akisema yuko tayari kukitumia chama kipya UDA kugombea kwenye ...
Rais William Ruto wa Kenya ametetea rikodi yake ya miaka miwili madarakani akisema hakuna serikali ya nchi hiyo iliyowahi kuweka mikakati madhubuti ya kuiendeleza Kenya kuliko ile anayoiongoza. Rais ...
Uamuzi huu wa rais Ruto unakuja zaidi ya wiki moja, baada ya kukutana na rais mstaafu Uhuru, Disemba 9, kikao ambacho wachambuzi wa siasa nchini Kenya, wanasema kimechangia mabadiliko hayo kwenye ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果